1969, chombo cha Apollo 11 kiliwapeleka Bus Aldrin na Neil Armstrong kwenye mwezi. Baada ya hapo hadi 1972, Marekani ilipoacha kutuma watu kuchunguza mwezi, watu 10 kutoka Marekani waliweza kukanyaga ...
Sherehe ya kuadhimisha miaka 80 tangu kutua kwa Provence imefanyika siku ya Alhamisi, Agosti 15 katika ukumbi wa Boulouris mbele ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, pamoja na viongozi kadhaa wa ...
Chombo cha anga za mbali cha India kilichopewa jina la Chandrayaan-3 kitajaribu leo kutua mwezini, wakati taifa hilo linatafuta kuweka rikodi ya kufanikiwa kupeleka chombo kwenye mwezi. Chombo hicho ...
Jiji la Iwakuni lililopo mkoani Yamaguchi magharibi mwa Japani linasema limethibitisha kuwa ndege za kivita za Marekani zimeanza mazoezi ya kupaa na kutua kwenye kambi ya jeshi hilo iliyopo eneo hilo, ...
Eva Mcharo aliyenusurika katika ajali ya ndege Bukoba amesimulia namna ilivyokuwa mpaka ajali inatokea na namna alivyookoka. Ndege ilisogezwa hadi karibu kabisa na ukiongo wa Ziwa Victoria. Ndege hiyo ...
Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini Ahn Gyu-back ameishukuru Japani kwa kusaidia ndege ya kijeshi ya Korea Kusini iliyokumbwa na matatizo. Ndege ya usafiri ya C-130 ililazimika kutua kwa dharura katika ...
Serikali ya Ubelgiji imechapisha orodha ya mashirika ya ndege yaliyopigwa marufuku kutua kwenye viwanja vya nchi hiyo kutokana na sababu za kiusalama.Hatua hiyo inafuatia, iliyochukuliwa na Ufaransa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results